KANUNI NA MUONGOZO Topten TV inafuata misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: 1. Kuripoti habari za ukweli 2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu 3. Kufuata misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote 4. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi , uvunjifu wowote wa amani, kuhatarisha usalama watu. Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake 2. Topten Tv ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi au maneno makali 3. Topten Tv ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote 4. Topten Tv ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni5.Maoni au matamshi ya mfuatiliaji wetu (Subscriber) sio msimamo wetu kama chombo cha Habari. Hivo Topten Tv haitowajibika kutokana na Maoni ya Wafuatiliaji wetu.
Sie sollten in den nächsten 3-5 Minuten eine Aktivierungs-E-Mail von StatsVideo erhalten.
Sie müssen auf einen Link in der E-Mail klicken, um Ihr kostenloses Abonnement zu beginnen.
Keine E-Mail erhalten? Kontrolliere deinen Spam ordner.