KARIBU! enjoy, share & have fun!--'Subscribe' Ili kupokea ujumbe pale tunapoweka video mpyaKuhusu sisi:ZMOTION STUDIOS inajihusisha na utengenezaji wa filamu za kiswahili, matangazo, na video fupi za vichekesho na vituko mbali mbali. Ukijiunga na chanali yetu kwa kubonyeza 'Subscribe' utakua miongoni mwa wanaopokea ujumbe wa barua pepe kila tunapoweka video mpya, pia utapata fursa ya kujishindia zawadi ya mwaka ukiwa utakua mfatiliaji mzuri unae 'share', 'like' na kukoment katika video zetu.Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO -Mau Mpemba -Makame Nuhusihttp://facebook.com/zmotionstudios
You should get activation email from StatsVideo in the next 3-5 minutes.
You must click a link in the email to start your free subscription.
Didn't get email? Check your SPAM folder.