KARIBU SIMULIZI MIX CHANNELBurudika na elimika wewe pamoja na ndugu jamaa na marafiki kwa simulizi nzuri za mapenzi, kusisimua na hata za maisha zinazoandaliwa kwa umahiri mkubwa sana na kampuni kubwa iitwayo SIMULZI MIX ENTERTAINMENT ambayo ni mahususi kwa uandaaji na wa riwaya na hadithi kwa njia ya sauti. Usiache kuwajuza ndugu jamaa na marafiki kuhusu channel hii iliyosheheni simulizi nyingi nzuri na nyingi mpya zinazokuja papa hapa ndani ya channel hii...SUBSCRIBE ili usikose hata sehemu moja ya simulizi nzuri sana zinazokuja.