Kingcharz Tvis registered online television dealing with providing all kind of news around East Africa.Kingcharz Tv inakusogozea kwa haraka habari zote za*Siasa*Michezo*Burudani TUNAZINGATIA YAFUATAYO..1. Kuripoti habari za ukweli zenye kufuata misingi ya habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote .2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu.3. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi.Muongozo kwa Wafuatiliaji Wetu (GUIDELINES FOR OUR SUBSCRIBERS)1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake.2. Kingcharz Tv ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi.3. Kingcharz Tv ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni.*Elimu*Sayansi, Teknologia na matukio mbalimbaliMAWASILIANO +255762575128+255772153328