Ibrahim Zancom, ni channel ambayo imeandaliwa, lengo na madhumuni ni kuelimisha jamii kupitia tasnia ya Qaswida, Tenzi, Mawaidha, Nasheed na Matukio mbali mbali ya kijamii.Hivyo channeli hii itaandaa Qaswida ,Mawaidha,Nasheed na tenzi mbali mbali kila baada ya kipindi, na ku upload, lengo na madhumuni ni kuelimisha na kukosoa jamii.Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia simu namba.Whatsapp : +255772285543Call : +255772285543Usisahau ku SUBSCRIBE, LIKE naku COMMENT ili uwe wa mwanzo kupata matukio na Qaswida mbali mbali kina zinapotoka.ASANTE.
You should get activation email from StatsVideo in the next 3-5 minutes.
You must click a link in the email to start your free subscription.
Didn't get email? Check your SPAM folder.