GeorDavie TV channel inafichua siri na chanzo cha matatizo, mapito na mitihani unayokabiliana nayo katika maisha yako ya kila siku ikiwemo mikosi, balaa, nuksi, nyota yako kuibiwa kupitia biashara, kazi au mahusiano uliyowahi kujihusisha nayo. Mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu Dr. GeorDavie, anakupa nafasi ya kufunguliwa unapoangalia video hizi! Sambamba na ufungulivu wa maisha yako utapata nafasi ya kumsikiliza akifundisha mafundisho mazuri na muhimu ya kiroho yatakayokufaa sana maishani mwako. Tafadhali anza kwa ku-Subscribe ili usipitwe na baraka hizi kila tunapozileta kwako. Karibu!The World's Renowned Author of: "KEEPING UP WITH GOD's KINGDOM GOVERNMENT STANDARDS!!!"
Dovresti ricevere un'email di attivazione da StatsVideo entro i prossimi 3-5 minuti.
Clicca sul link nell'email per iniziare la tua sottoscrizione gratuita.
Non hai ricevuto l'email? Controlla la cartella SPAM.