KANUNI NA MUONGOZO YA UHONDO TVUhondo TV Online ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza katika tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti taarifa zote za kijamii ikiwemo habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani n.k. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: i. Kuripoti habari za ukweli wakati woteii. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa jamii ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu kwa wakati sahihi.iii. Kufuata kanuni na misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zoteMUONGOZO:Wafuasi wetu (subscribers) i.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ii. Uhondo TV ina uhuru wa kufuta maoni yoyote yasiyo na maadili au yenye lugha chafu iii. Uhondo TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni.iv. Uhondo TV haitahusika moja kwa moja na maoni yatolewayo na wafuasi wetu ikiwemo lugha zisizofaa n.k
Gráficos de estadísticas de YouTube de Chard Online Tv
Presentación visual de los cambios diarios en las estadísticas más importantes del canal, incluyendo el número de suscriptores y el número de reproducciones
suscriptores totales
suscriptores diarios
clasificación por suscriptores
reproducciones totales
reproducciones diarias
clasificación por vistas
Estadísticas diarias Chard Online Tv
Descubra cuántos suscriptores y reproducciones tiene el canal cada día
Debería recibir un correo electrónico de activación de StatsVideo en los próximos 3-5 minutos.
Debe hacer clic en un enlace en el correo electrónico para iniciar su suscripción gratuita.
¿No ha recibido el correo electrónico? Revise la bandeja de correo no deseado.